Basi hupati hata muda wa kukuaa ukaandika info kwa upana ya bishara yako!!!
Kwa kukusaidia
Battery zako ni used au mpya?
Unapatikana wapi?
N70 bei gani?
N50 bei gani?
Ns40 bei gani?
N100 bei gani?
120 na 150 bei zake
Zina guarantee?? Mada gan??
Jumla unauza au?