Uuzaji na ufundishaji wa mbwa

Uuzaji na ufundishaji wa mbwa

simon temba

Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
11
Reaction score
0
Tunatoa hufuma ya MAFUNZO kwa MBWA aina zote kwa ISHARA na SAUTI.... Tunatoa mafunzo ya UTII, UKALI na vinginevyo kulingana na mahitaji ya mteja pia BOARDiNG zipo bei nafuu
+254758650568 whatsup kwa kenya
+255717618309 whatsup kwa Tanzania
 
Kuna mbwa kama hawa wakwetu wakibongo wanafundishika?Ni vema ungeeleza japo kwa ufafanuz kidogo.
 
Nafikiri best time kumfundisha mbwa ni kuanzia miezi 5 hadi 10 tangu azaliwe
 
Tunatoa hufuma ya MAFUNZO kwa MBWA aina zote kwa ISHARA na SAUTI.... Tunatoa mafunzo ya UTII, UKALI na vinginevyo kulingana na mahitaji ya mteja pia BOARDiNG zipo na Mbwa wapo bei nafuu
Tupo dar
Tunatoa ushaur buree kuhusiana na mbegu bora na aina ya mbwa kulingana na mahitaji
+254758650568 whatsup kwa kenya
+255717618309 whatsup kwa Tanzania
 
Kuna litoto langu kule nyumbani ntamleta mumfundishe

nimeshapiga vipigo vyote ila bado

ntawatafuta.

Asante.
 
kuna watu wapo humu ndani nadhani tunaweza ungana

kama wana JF tukawaleta kwenu
 
Katoto ka german shepherd pure mnacho mi nina boerdog je hawa hupokea mafunzo?
 
Vipi kuhusu pure breed za "ROTWEILLER", mnazo? Na bei gani?. Nataka nijaribu kufuga mmoja.

Maana nina huyu mbwa wangu, nahisi kuna siku atachomoa "BETRI" ije kua noma mtaani. Ana michezo ya hatari hatari tu.
20191017_225735.jpeg
 
Back
Top Bottom