Uuuuuwiiiii

Huyo msichana namjua ni mkazi wa mji mmoja hapa Tanga, unaitwa Pongwe ni takribani kilometa 15 kutoka makao makuu ya mkoa huo. Na hiyo picha ilifanyiwa editing na mke mwenza, baada ya kusikia mumewe ameongeza mke wa pili na akaiweka katika mtandao wa kijamii wa facebook. Na huyo aliyekaa nae hapo sio mume wake bali ni kaka yake.
Zipo picha zake ambazo anaonekana katika muonekano mzuri tu!! akiwa pekee na nyingine akiwa na mumewe.
Kwa atakayehitajia majina yao au namba zao za simu nitampatia ili aujue ukweli.@mshana jr
 
Duu afadhali asante kwa ufafanuzi wenye kuakisi ukweli na uhalisia..imenipa mashaka mno at least now I know something
 
Sawa kaka@mshana jr, nitamuomba aniruhusu kama itawezekana niweke zile picha zake halisi.
 
Sawa kaka@mshana jr, nitamuomba aniruhusu kama itawezekana niweke zile picha zake halisi.
Ok sawa lakini kama ni kwa ridhaa yake na pia kanuni za JF ili kuweka kumbukumbu sawa! Ila ukewenza kazi sana
 
Sawa@mshana jr!! Akiliafiki ombi langu nitafanya hivyo lakini kama ulivyosema kwa ridhaa yake. Ndoa za mitala zinataka moyo msusuavu sana la sivyo!! ni tabu tu!!
 
mapenzi pesa sura hata mamba anayo
 
Saluni si siku moya labda masaa 48. Ukumbini anapeleka zawadi ya keki kwa wakwe duh! usishangae wakatimua mbiyooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…