Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Yaaani aliyelifukua hili Mungu anamuona aisee.Duh watu wanafukua tu makaburi hawapulizi hata air fresh
Ila Mtoa thread ungeweka hata na kapicha kamoja tuone kama ni kweli unayosema![]()
Yaaani aliyelifukua hili Mungu anamuona aisee.Duh watu wanafukua tu makaburi hawapulizi hata air fresh
Ila Mtoa thread ungeweka hata na kapicha kamoja tuone kama ni kweli unayosema![]()
Watu wana visa we acha tuYaaani aliyelifukua hili Mungu anamuona aisee.

Acha kabisa Mkuu.Watu wana visa we acha tu![]()
Hahaaa. Lol![]()
![]()
![]()
![]()
nakuona unakohoa tu na kitu nje
Ngoja nikupe trick ambayo mm binafsi niliitumia kuongezea naniliu na kutoka kwenye kundi la vibamia.. kwanza unatakiwa uzamirie maana ni zoezi linaloweza kwenda zaidi ya wiki 2 kutegemea na mfumo wa mwili wakoMimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio waaminifu kwangu kitu kinachonifanya nihisi kuwa ni udogo wa mboga yangu.
Ukiniona ni bonge la handsome na kina dada wenyewe wana jileta lakini wengi na wachunia sana kwakujifanya kuwa mimi ni bonge la Mlokole flani kumbe uume wangu mdogo hata mwanamke ukimkubalia utamtia siku ya kwanza ya pili ataanza kulalamika kwamba hasikii kitu.
Sasa utakuta mzee mzima na ji over work ili shughuli ifane lakini wapi jasho linatoka, basi ni matatizo na maumivu ya roho. Ukiachana nao wanaanza kutangaza basi balaa mtindo mmoja hebu ni saidie dada yangu.
.