Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
aka mie sitaki mbwembwe nataka pesa mie.
Kidogo nikuite shosti uje usikilize kilio kingine!
Mi nahisi kuna miaka ya juzi kati wazazi walidekeza sana watoto wao wa kiume,sasa wanakuwa wanataka wawe vichwa ila wakiletewa majukumu yanayoambatana na hicho cheo wanaanza kulalama!
CC. Swts
Usilte ngonjeara hapa km huna hela kaa pembeni ww khaaaaa!!
Watu km ninyi mkiombwa pesa muna lalama hamfai kwa hii jamii ya sasa
bila kunihudimia rafiki yangu utasoma namba!! haijalishi mume au boyfriend. unataka nani anihudumie kama sio wewe
Mkuu uwe unasoma hadi mwisho sio ilimradi upate like za kina Dada/Mama... Kasema imekuwa too much ila sio kama kutompa hela kabisa.
Pili kabla ya kumtongoza na kuanzisha uhusiano alikuwa hapendezi hapo mwanzo?
baba yako,kwani nani alikuleta duniani
ni kwel hatutakiwi kupenda vya bure kihivy bt wadada zetu most of u mnazid (yani kuna wengine nashindwa hata kuwatofautisha na wale wakimboka) mara naomba hela ya kula, kusuka oooh dear mama mgonjwa mara kodi ya nyumba imeisha xax mi najiuliza nato... Kod ,nywele au nn we tushamaliza ku do mambo yetu chukua kumi lako kaa pemben na sio kuanza kunifungulia faili la xhida zako kama umefika us aid centreNo free lunch
Imenibidi nije na UZI huu kutokana na saikolojia ya wanawake wengi pindi watongozwapo na wanaume na kuanza uhusiano nao,wengi hudhani kuwa sasa ni mwanzo wa maisha yao kubadilika kiuchumi,mwanzo wa mahusiano anaweza ukahisi umepata mwanamke sahihi,baada ya muda anaanza MIZINGA mara naomba PESA ya kula,naomba PESA ya salon,naomba PESA ya kulipia kodi ya chumba nk.Hivi ulivyokubali kirahisi KUMBE ulikuwa na lengo la kumfanya mwanaume kuwa ATM,uchote pesa kadiri utakavyo..? Pia utakuta mwanamke ana kibarua chake ila anajitoa ufahamu na kuona PESA hazifai kutumia kwa matumizi yake zaidi ya kuomba kwa wanaume,nasema wanaume wengi wameanza kushtuka na USANII wenu..Hata kama mwanaume ni KICHWA cha familia/mahusiano ila NJAA zenu zimezidi kwa baadhi ya wanawake..!@! Kama UTAMU mwapata wote ya nini kupeana STRESS za kijinga kijinga..???
mpe uyoo!! we tuhela twa saluni na vocha tunakutoa jasho sasa majukumu ya kifamilia utaweza kweliii??MWANAUME ATAKULA KWA JASHO MWANAMKE ATAZAA KWA UCHUNGU.......mi hua napiga kaz kwa bidii sana ata ofisin wananjua ila nkipokea tu mshahara brake ya kwanza kwa my sweet tunatumi I don't care na wala siwez lalamika manake shez ma sweet potato.
inategemea ndugu kibamia nachoo mmh! haya mambo yanatakiwa yaende sambamba lolz lkn ndio ivyo tena.mwanaume pesa uume mbwembwe tu.
Kama sio HB na huna hela i feel sorry for you,wanawake warembo wote utaishia kuwaita mashemeji
Wanaume wengi wamekua wabahili na wabinafsi.kaz kulialia nimeoa.namtunza mke na mtoto ipasavyo.nalipa bil zote...nawapendezesha wote.yes ndo jukum langu...wife anapga mzgo na Ela yake nadra sn mimi kuifuatilia.....mababu zetu walioa wake wengi Na waliwahudumia
Mmekua wanaume sarawili.huwez hudumia nenda konabaa au chawaputa
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................
kiu ya kutimiza mahtaji ya mwanamke ndio msingi wa mafankio ya mwanaume.