"uume siyo pesa"

Sitaki hata kusikia achilia mbali kuona...
 
We msela sasa hivi mgumu ila subiri upate pesa wewe, utawahonga nahisi hadi utakuja kuleta mada humu kua ukitaka mambo safi kua na pesa... Ni kama mwanaume anavyopenda uzuri wa binti, sasa wabaya walie? vivyo hivyo wanataka wenye nazo sasa ambazo hawana ndio kilio chao hiki
 
Na uke sio kukupikia,kukufulia wala kukuhudumia....over!

Am sorry ke mwenzangu, huu ni wajibu wetu!!! Ndiyo sababu tuna nguvu ya kuwashupalia watuhudumie...
Kula uliwe!! Uza ununuliwe upo hapo???
 
Si unakaa pembeni kuepusha hizo stress..................

Kidogo nikuite shosti uje usikilize kilio kingine!
Mi nahisi kuna miaka ya juzi kati wazazi walidekeza sana watoto wao wa kiume,sasa wanakuwa wanataka wawe vichwa ila wakiletewa majukumu yanayoambatana na hicho cheo wanaanza kulalama!

CC. Swts
 
Last edited by a moderator:

Bora umemwambia
 
Na bado utalia sana hapa duniani. Emiliasi G Penda usipende jasho lako litaliwa hadi ufe, na ukichelewa kufa unaweza kuuawawa vile vile watu wapate urithi!


 
Last edited by a moderator:
Na bado utalia sana hapa duniani. Emiliasi G Penda usipende jasho lako litaliwa hadi ufe, na ukichelewa kufa unaweza kuuawawa vile vile watu wapate urithi!



Daaah umemchana kweupeeee.... usikute we Dada Uf
 
Last edited by a moderator:
Am sorry ke mwenzangu, huu ni wajibu wetu!!! Ndiyo sababu tuna nguvu ya kuwashupalia watuhudumie...
Kula uliwe!! Uza ununuliwe upo hapo???

Yeah nalijua hilo best ...but as long as wanaona kutuhudumia siyo jukumu lao basi sisi tuyaache yetu..
Ndoa lazima ibalance I mean yeye afanye majukumu yake kunihudumia na mimi nimuhudumie...sasa wao wanataka maisha ya mteremko na kukimbia.majukumu yao kwetu.
 


Mkuu uwe unasoma hadi mwisho sio ilimradi upate like za kina Dada/Mama... Kasema imekuwa too much ila sio kama kutompa hela kabisa.

Pili kabla ya kumtongoza na kuanzisha uhusiano alikuwa hapendezi hapo mwanzo?
 

Yaaaa nimekupata shost!! Tupambane nao mdogomdogo wataelewa tuu. Ni wachache labda vile wallet zimetoboka. Wengi nawasifu wanafanya majukumu yao. mi hata mchina wangu huu ni wao!
 

Biashara matangazo...Subiria PM za wanaojiuza.
 

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka
Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…