"uume siyo pesa"

Hahahah wewe bwana.

Kwa hiyo atabakia kuita warembo mashemeji?

Tusio na hela kazi tunayo.

wewe bibi karidhika hawa wanalia lia wanataka mambo makubwa wanayashindwa.Mekumiss sana wewe
 
Banaeh mimi nakubaliana na mleta mada ...uume si pesa...bali uke ndo pesa....Case yangu mimi huwa nahonga tuu tangu nipo shuleni niliwahi kula ada kipindi F 5 ilikaribia kula kwangu kuilipa.asa tangia hapo ,chuo,kazi hadi leo nahonga tu wala sijahongwa.Sii nia yangu kueleza ulofa wangu ila ku-justfy kwamba ..kwa bibi ndo mpango wa ela.
 
wewe bibi karidhika hawa wanalia lia wanataka mambo makubwa wanayashindwa.Mekumiss sana wewe

We umenikimbia ndo maana. Baadae ntakusabahi mtaa wa pili kule.
 
Usilte ngonjeara hapa km huna hela kaa pembeni ww khaaaaa!!
Watu km ninyi mkiombwa pesa muna lalama hamfai kwa hii jamii ya sasa

Halafu hivyo vihela venyewe ss wanavyokaa kutusimanga na kutupigia makelele ss
Ndogo sn ila lol
 

Waambie wenzio hao
 

Dah
Bahati mbaya I'm occupied
Salute! !!!!!

Manaake mwanaume akikutaka ukimwambia no sex hakusomi
Asantee kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…