"uume siyo pesa"

Ahsante Mkuu!!!! Mwenzao aliona hataki gharama za kuhudumia mwanamke akaenda oa Bibi wa miaka 70.. Si waige mfano ule???
 
Usilte ngonjeara hapa km huna hela kaa pembeni ww khaaaaa!!
Watu km ninyi mkiombwa pesa muna lalama hamfai kwa hii jamii ya sasa
 
MWANAUME ATAKULA KWA JASHO MWANAMKE ATAZAA KWA UCHUNGU.......mi hua napiga kaz kwa bidii sana ata ofisin wananjua ila nkipokea tu mshahara brake ya kwanza kwa my sweet tunatumi I don't care na wala siwez lalamika manake shez ma sweet potato.

Jamani huyo mbabe wako amepata mume trust me!! Hongera sana.
 
MWANAUME ATAKULA KWA JASHO MWANAMKE ATAZAA KWA UCHUNGU.......mi hua napiga kaz kwa bidii sana ata ofisin wananjua ila nkipokea tu mshahara brake ya kwanza kwa my sweet tunatumi I don't care na wala siwez lalamika manake shez ma sweet potato.
una akili sana Mkuu mwanaume kutafta mwanamke kutumia ata Mungu alinena
 
Eti ukiona huwezi kaa pembeni pisha wanaoweza... wa 1 ni wa 1 wa mbili haezi shindana na 1

Nakumbuka ile thread kila mwanamke anajiuza. Wamama mlikua wakali sana. len naona mnajiachia tu.
 
Nakumbuka ile thread kila mwanamke anajiuza. Wamama mlikua wakali sana. len naona mnajiachia tu.

Mi sina tatizo la kuitwa MUUZAJI Mkuu! Manake ni kwamba nagegedwa na kuhudumiwa hela ya maintance ya papuchi, sasa nisipouza kwa ME nijiuzie mwenyewe???
 
Kila mwanamke anajiuza

Source: Majaribu2013

Jamii forums, MMU.

www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/541951-kila-mwanamke-anajiuza-si-wale-tu-wanaosimama-buguruni-11.html#post7642939
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…