-Je, kuna tatizo kama uume haujadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo asubuhi?
-Dr. Ndodi amewahi kusema kuwa NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME kama UUME UTAKUWA UMELALA i.e., huajadinda wakati mwanaume yupo usingizini, na pale aamkapo.
-Je, Dr. Ndodi yupo sahihi, au ilikuwa ni lugha ya biashara?
-Imekuwa, mara nyingi, kawaida kwa uume kuwa katika hali ya kuwa umesimama pale mwanaume anapokuwa usingizini, na mara tu aamkapo.
-Hii hali ya kusimama kwa uume wakati mwanaume anakuwa usingizini, na pale akiamka, hutokea hata watoto wadogo wanaokaribia kubalehe
Je, kama uume haujadinda katika nyakati hizo za kulala, na kuamka, kuna tatizo?