Ok mkuuKazi pia nafanya mkuu.
Mda wa kuandika haya ni muda wa kupumzisha akili, na kurefresh mind.
Something new gained hereHuwa inatokea mjomba.That is real love. Ulichotegemea ni yeye ajibebishe kwako na hakufanya,labda ukadhani akuonyeshee ana mtu hukumuona. Kwahiyo hapo vigezo na masharti vimelingana.
Mapenzi siyo 2+2=4,hapana inaweza kuwa hata 22. Oa kabisa hapo maana dodo likiokotwa hilo huji kuliona tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa dah ay bhana but sijala chochote ila nilishare tu mgorol milipewa nilikuwa najisikia bard kwel nikahurumiwa toka siku hio nimemuona mwingine sio wazamani tena.Hujala au kunywa chochote alichokiandaa yeye? Nasikia huwa wanachuja chai kwa chupi chafu, ukinywa unamuona yeye tu! Au nyama inalazwa kwenye mtaro wa makinikia, asubuhi ukila tu baaasi...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
NimekusomaPamoja thana mkuu wangu