UTV and others FTA tv zilitakiwa kuwa bure na siyo uhuni wa hawa Azam kikiasha tu kifurushi wanazifungia na wameweka code kwenye decoder zao mpya za kuzifunga, decoder za zamani mwendo mdundo hazina hizo code! Tena ukiwapigia kwanini wanafunga wanakuambia hakuna cha bure, sasa decoder mlitugawia kama pipi au tulinunua!
TCRA hawana meno kwa hawa wakubwa, kila mkubwa anapiga usawa wa kamba yake😀