Uturuki yathamini wanawake zaidi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
141010001618_recep_tayyip_erdogan_624x351_epa.jpg

Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan

Raisi wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan,ametoa kauli kuwa wanawake hawako sawa na wanaume kutokana na tofauti zao za kimaumbile.

Bwana Edogan,ambaye ni mcha Mungu na hafidhina wa dini ya kiislam,ametoa kauli hiyo mbele ya mkutano mkubwa wa wanawake mjini Istanbul , na kusema kwamba wanawake wajawazito ama wanawake wazazi,

hawapaswi kutoka nje ya nyumba zao kulima,na waislam wanawatambua wanawake kuwa ni wazazi.
Kutokana na kauli hiyo Raisi Edogan amesema bayani kuwa wanaharakati hawatamuelewa.Mwandishi wa

bbc nchini Uturuki ameeleza kauli ya raisi huyo ni kama yenye kutaka kukata rufaa kwa waungaji mkono wake na waswalihinna lakini wengi wao wanaiangazia dunia zaidi badala ya uhuru wa Taifa hilo.

Bwana Edogan hivi karibuni alitoa kauli kuwa kila mwanamke nchini humo anapaswa kuwa na watoto watatu tu, na kupendekeza Kudhibiti haki ya utoaji mimba.

Chanzo:
http://www.bbc.co.uk/swahili/…/2014/11/141124_erdogan_turkey
 
Back
Top Bottom