Waarabu wasikie tu redioniKila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana,waarabu wako kimya kama hawaoni.
Duh,hii ni kweli tupu.Waarabu wasikie tu redioni
Jiulize kwani nchi mfano za waarabu kukitokea vita nchini kwao wanakimbilia nchi za wakristo ulaya na marekani hawaendi nchi za waislamu wenzao?
Hata Pemba kulipotokea vurugu walikimbilia Ulaya sio Omani au uarabuni
Tukumbushe ndugu yangu wengine kipindi hicho walikua hawajazaliwa,wengine walikua jela n,kNchi za waarabu ziliungana kuishambulia Israel, unakumbuka kilichowapata?
Kwa tafsiri hii inaonekana ni wabinafsi sana, naskia hata wakimbizi wa kipalestina wamenyimwa uraia kwenye nchi za kiarabu?Waarabu wasikie tu redioni
Jiulize kwani nchi mfano za waarabu kukitokea vita nchini kwao wanakimbilia nchi za wakristo ulaya na marekani hawaendi nchi za waislamu wenzao?
Hata Pemba kulipotokea vurugu walikimbilia Ulaya sio Omani au uarabuni
Ni kweli hawataki kuwapa uraia na hawataki hata wawe wakimbizi kwao!!Kwa tafsiri hii inaonekana ni wabinafsi sana, naskia hata wakimbizi wa kipalestina wamenyimwa uraia kwenye nchi za kiarabu?
Tujuze mkuu,hatujuiWalijaribu hapo kabla kuungana, kwa bahati mbaya hawakuwa na maandalizi mazuri! Na hivyo kuishia kupigwa na hayo Mazayuni.
Ila umeshawahi pia kujiuliza hayo makombora wanayo tumia hao Wanamgambo wa Hamas na Hezbollah, na wale wa Yemen yanatoka wapi?
Sisi tunausikaje uko dini zenyewe tumeletewa tu..Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana,waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media,inasaidia nini sasa?
Hakuna mzozo utakaotikea mashariki ya kati uache kusikia Uturuki inaunga mkono upande fulani na kusaidia silaa tena umguse mwislamu Uturuki haiwezi kunyamaza.
Azerbaijan imeishinda Armenia kwenye jimbo la Nagorno ...kwa msaada wa kijeshi toka Uturuki
Iran iko vizuri sana kiuchumi na kijeshi, imetoa misaada mingi sana kwa makundi kama Hezbollah.
Uislamu ni udugu, Wapalestina ni waislamu, Kwanini hawatoi msaada kwa ndugu zao Palestina? Ina mana Israel inaogopeka kiasi hicho? Kinchi kidogo kiasi hicho hata mkoa wa Kilimanjaro mkubwa?
Waarabu ni muda wa kujitambua sasa.
Hapo ndio huwa nashangaa.Waarabu wasikie tu redioni
Jiulize kwani nchi mfano za waarabu kukitokea vita nchini kwao wanakimbilia nchi za wakristo ulaya na marekani hawaendi nchi za waislamu wenzao?
Hata Pemba kulipotokea vurugu walikimbilia Ulaya sio Omani au uarabuni
Sasa mmoja ana nguvu kuliko mwingine ndio shida,kama ndugu basi atoke mtu wa kuamuliaSisi tunausikaje uko dini zenyewe tumeletewa tu..
Niliwahi soma historia nikaone hizi dini zote Baba yao ni mmoja sema kinachoendelea hapo ni vita ya Ndugu wawili.. hiyo vita iposiku itaisha tu akili zikiwakaa vizuri
Nani kakwambia Wapalestina ni Waislamu?Nani kakwambia hawawasaidii?Unataka Wapeleke Majeshi yao?Wameshawapa silaha na mfunzo.Mgogoro wa Israel na Palestine ni Mgogoro wa KIjima (Barbaric War) Wayahudi na Wapalestina wote ni wajima wakidai kwamba wenzao ni wavamizi wa eneo lao bila kuwa tayari kuishi pamoja.Hauna maslahi ya kiuchumi wala kisiasa katika Zama hizi ndo maana wengi wanaunga mkono kwa maneno na kwa nyuma ya Pazia.Kila nikiangalia video kinachoendelea hapo Gaza nashangaa sana,waarabu wako kimya kama hawaoni. Afu waafrika na unafiki wa kulaani kwenye media,inasaidia nini sasa?
Hakuna mzozo utakaotikea mashariki ya kati uache kusikia Uturuki inaunga mkono upande fulani na kusaidia silaa tena umguse mwislamu Uturuki haiwezi kunyamaza.
Azerbaijan imeishinda Armenia kwenye jimbo la Nagorno ...kwa msaada wa kijeshi toka Uturuki
Iran iko vizuri sana kiuchumi na kijeshi, imetoa misaada mingi sana kwa makundi kama Hezbollah.
Uislamu ni udugu, Wapalestina ni waislamu, Kwanini hawatoi msaada kwa ndugu zao Palestina? Ina mana Israel inaogopeka kiasi hicho? Kinchi kidogo kiasi hicho hata mkoa wa Kilimanjaro mkubwa?
Waarabu ni muda wa kujitambua sasa.
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.Tukumbushe ndugu yangu wengine kipindi hicho walikua hawajazaliwa,wengine walikua jela n,k
Baada ya hao wanao jiita Waizrael ( mimi nawatambua kama Walowezi kutoka maeneo mbalimbali ya Ulaya na Marekani) kujipenyeza Palestina iliyokuwa ikikaliwa na Waarab kwa miaka mingi na kujitangazia Uhuru wao mwaka 1948 chini ya Waziri Mkuu wa Kwanza David Ben Gurion!Tujuze mkuu,hatujui
Waarabu ni wabinafsi sana shangaa hata wakimbizi kutoka nchi za kiaarabu hawaruhusiwi kwenye hizo nchi zao