cold water
Senior Member
- Oct 6, 2021
- 181
- 632
Au Grid ifanye yakeFridge haizimwi. Inawaka hadi ijifie yenyewe.
Nani huwa anazima Fridge? Ili iweje? Ku-save electricity!
Kwamba sado imalize mwaka dadaNyanya blend, uichemsheeee hadi iive ikauke kabisa maji.....ikipoa weka kwa kontena freez, utamaliza mwaka mzima haununui nyanya.
Itategemea na matumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.Kwamba sado imalize mwaka dada
Sawa mwananchiItategemea na natumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.
Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2
Unaweza kufanya hivyo kwa kuchanganya nyanya na viungo vingine ili ukihifadhi mchanganyiko huo ili kama unapika mboga yako ibaki tu kazi rahisi ya kumimina kwenye kipikio?Nyanya blend, uichemsheeee hadi iive ikauke kabisa maji.....ikipoa weka kwa kontena freez, utamaliza mwaka mzima haununui nyanya.
Huo sasa ubahili. Utasave sh. ngapi kwa kuweka nyanya kwenye fridge mwaka mzima. Na huo ubora au freshness ya hizo nyanya utakuwa palepale au mnataka kujilisha sumu?Nyanya blend, uichemsheeee hadi iive ikauke kabisa maji.....ikipoa weka kwa kontena freez, utamaliza mwaka mzima haununui nyanya.
Mie mbahili ndio natengeneza naweka, we ambae sio bahili nenda sokoni kila siku....🤝Huo sasa ubahili. Utasave sh. ngapi kwa kuweka nyanya kwenye fridge mwaka mzima. Na huo ubora au freshness ya hizo nyanya utakuwa palepale au mnataka kujilisha sumu?
Yeah wengine huwa wanaeka na kitunguu saumu ila sijui sasa kama itaendelea kukaa muda mrefu, mie napika yenyewe tu siweki chochoteUnaweza kufanya hivyo kwa kuchanganya nyanya na viungo vingine ili ukihifadhi mchanganyiko huo ili kama unapika mboga yako ibaki tu kazi rahisi ya kumimina kwenye kipikio?
Yeah wengine huwa wanaeka na kitunguu saumu ila sijui sasa kama itaendelea kukaa muda mrefu, mie napika yenyewe tu siweki chochote
Hapana, ukiiblend si itakua ina maji tu yenyewe, au unavoikwangua kwenye kile cha kukwangulia.... Unaiweka kwenye sufuria hivo hivo unaichemsha, inachemka hadi hayo maji yanakauka kabisa.Unapoichemsha nyanya yenyewe unatumia na mafuta ya kupikia?
Virutubisho gani? Inakuwa fresh tu banaNyanya kukaa kwenye jokofu mwaka mzima hupoteza ubora wa virutubisho.
Kuna mahali nilikula nyama haina hata nukta ya ladha, mara 100 hata maji ya kunywa, friji ni taste loser..Nyanya kukaa kwenye jokofu mwaka mzima hupoteza ubora wa virutubisho.
unapo chemsha unaichemsha yenye pekee au kuna vitu vingne unatia? Ebu tupe somo kidogo hapo tujaribuItategemea na natumizi yako....kama upo peke ako sado nyingi sana, halafu nyanya ukiisha ichemsha hivo inakua kama nyanya ya kopo/pakti inatumika kidogo mnooo tofauti na ikiwa tunda bichi.
Kuna kipindi nilinunua kiroba cha kg 25 msimu wa nyanya, kiroba elf 8 nikachemsha nikahifadhi ilikaa mwaka na miezi 2