Noti yoyote ili idumu ni usiikunje huwa wanadai dollar haikunjwi sababu TZ haitumiki moja moja kwa mzunguuko itabidi ukaibadilishe bank. Hivyo wengi tunakua na wasiwasi wa kuitunza ili kuepuka usumbufu imagine 100$ ikataliwe kisa ni mbovu. Au ulishawahi kwenda na noti mbovu dukani unavyokua na wasiwasi.
NB: Dollar inakunjwa sana uliza wadau wa utalii, pale unapofinyiwa (kupewa tip) na mgeni halafu hutaki crew ijue. Kitu kinakunjwa halafu kinakaa kwenye socks.