Utumishi wa umma kada za afya ni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utumishi wa umma kada za afya ni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Seto, Mar 5, 2011.

 1. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kutokana na nayoona niwepo mazingira ya hospitali nimeona kuwa mwajiriwa wa serikali katika kada za afya tena akiwa wale wa ngazi za chini wanapata haya:-

  1. Wanasiasa na watumishi wa serikali wa ngazi za juu huwakandamiza na kuwashurutisha LENGO IKIWA WAO WONEKANE WASAFI NA KUBEMBELEZA KURA KWA WANANCHI.

  2. Wananchi wanaohudumiwa nao huwashutumu kwa kutopata huduma bora ikiwa hata hivyo vifaa havipo.

  3. Waandishi wa habari hutafuta visa na vyengine hata vya kutunga ili WAUZE MAGAZETI YAO.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  You have to stand and fight back!kama vifaa au dawa hakuna mseme.tatizo lenu mnaogopa kusema na mnakubali kulimbikiziwa makosa.lakini ishu ya rushwa haihusiani na wanasiasa.
   
Loading...