Heshima kwenu wadau,
Kuna hii ktu inanchanganya, naomben msaada wenu ili njue namna yakultatua kwan nko mkoan nashindwa kuwa-face wahuska, ishu iko hivi
Nimeajiliwa October last year kma Afsa Ugav Msaidz nalpwa TGS-B, Elimu yangu ni Diploma/Stashahada ya Ugav/Procurement, Sasa kuna jamaa angu anasena tgs-b ni kiwango cha wahtimu wa Cheti/Astashahada. Mwenye kufahamu plz salary scale inayotumika serkalini kwa ngaz ya Diploma msaada tafadhal
Ntashukuru1
................
................
Ahsanten kwa ufafanuz wakuu,
Lakn incase pengne labda tangazo lakazi lilikuwa linasema utalpwa hyo tgs-b kwa ngaz hyohyo ya Stashahada,
Hiyo imekaa vp!