Utumishi ni lini mtatoa majina ya waliofaulu oral interview?

Utumishi ni lini mtatoa majina ya waliofaulu oral interview?

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Mtaani ni pazuri kama una kazi au shughuli ya kukuingizia kipato. Utumishi muwakumbuke na waliofanya interview kwa post mbalimbali mwezi jana walau hela ya sikukuu ipatikane na tulijenge taifa letu.
 
Na sisi tuliofanya oral zikadunda na kusubiria kanzidata zijibu tunakomenti wapi
 
Back
Top Bottom