Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,758
Habari.
Utumishi walitangaza Ajira za afya karibia 9400 na tukafanya usaili mwezi uliopita.
Ila hawa jamaa wana ukakasi sana wameanza kutoa mikeka wiki hii ambalo mpaka sasa wamechukua kada kama nne tu.
Nursing officer 400
Pham Tech 240
Medical attendant
Assistant nursing officer.
Ila wanaleta ukakasi kwa kuacha kada nyingi sana ili waweze kufikia idadi hiyo au wazidi kabisa.
Hata kama ni mchakato kwa nini wasitoe PDF moja ikaeleweka kuliko vipisi vya pdf walivyoanza navyo na haieleweki lini watakamilisha maana karibia kada 13 zimefanya usaili .
Hawa jamaa wanatakiwa usaidizi wamelewa.