Kuna watu huwa wapo kwenye database ya Utumishi wanasubiri nafasi wapangiwe. Hawa ni wale ambao walifanya oral interview na hawakubahatika kuitwa kazini. Hivyo nafasi zikitoka hupelekwa.

Sory akuu naomba mnisaidie hilo tangazo kwa email hawadaniel865@gmail.com
wakipigiwa huwa wanasemaje mkuu