Utumishi kunani

Utumishi kunani

bullion

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
309
Reaction score
112
Wakuu heshima zenu,
Niliomba kazi utumishi, wameniita kwenye interview ila jina langu limetokea kwenye kada ambayo sikuomba.Kwenye kada niliyoomba jina halijatokea.
Naomba ushauri wenu
Nawasilisha
 
Kapige kazi mkuu,wenzio wanaitaman wanaikosa
 
Sio kwamba nimepata kazi, ila wameniita kwenye interview ila jina langu limetokea kwenye kada ambayo hainihusu na sikuomba.Ushauri wenu ni muhimu
 
nadhani yatakua makosa ya kiufundi hayo. ebu jaribu kuwapigia simu mzee, hafu uone watasemaje. jaribu mapema maana interview si zinaanza tar 20+? kama upo dar, wafuate ofisi zao maktaba kuu mzee. kama upo mkoa na wasipokupa majibu mazuri siku ya usaili nenda hafu wasikilize uone watasemaje. all the best kaka.
 
Mkuu mi nipo mkoani, siku ipi niende sasa, mana kuna tarehe 23 na tarehe 25, jina langu lipo kwenye tarehe 23 ambayo hainihusu
 
Wakuu heshima zenu,
Niliomba kazi utumishi, wameniita kwenye interview ila jina langu limetokea kwenye kada ambayo sikuomba.Kwenye kada niliyoomba jina halijatokea.
Naomba ushauri wenu
Nawasilisha

Nenda kitengo cha ICT pale PSRS maktaba complex wanarekebisha
 
asee mkuu kafanye kazi

mama miss chagga umemsoma vibaya. sio kwamba kaitwa kazini, ila kaitwa interview.

tufanye wewe uwe umesoma bsc mining engineer hafu ukaitwa interview ya procurement, aisee.

btw ata angekua kaitwa kazini, sio vizuri mtu kufanya kazi isiyo ya professional yako kisa tu shida za ajira. ndio maana migodi ina collapse, kumbe mtu wa procurement ndio ana design underground mining structure sio mtu husika... just saying... :car:
 
Last edited by a moderator:

Na kweli nimesoma vibaya loh... sijui nashida gani mweee
 
Last edited by a moderator:
Sio kwamba nimepata kazi, ila wameniita kwenye interview ila jina langu limetokea kwenye kada ambayo hainihusu na sikuomba.Ushauri wenu ni muhimu

Rudi upate maelezo hapo utumishi....
 
Back
Top Bottom