Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,568 Reaction score 7,463 Jun 27, 2013 #1 Zilitoka nafasi tangu mwezi MEI tarehe 9,na wakabandika kwenye web yao walioomba waendelee kuitembelea hiyo web kwani wangeweka shortlist soon,nashangaa mwezi wa pili huu unaisha hamna kitu kulikoni? Au watu washaitwa kazini?
Zilitoka nafasi tangu mwezi MEI tarehe 9,na wakabandika kwenye web yao walioomba waendelee kuitembelea hiyo web kwani wangeweka shortlist soon,nashangaa mwezi wa pili huu unaisha hamna kitu kulikoni? Au watu washaitwa kazini?