miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 85
Wadau nimepita katika website ya Sekretarieti ya Ajira nimeona tangazo lao la kazi kwa la Kibaha Education Center. Ni nafasi za taaluma mablimbali usije ukaona ni elimu ukapotezea. Nafasi nyingi zinahitaji kiwango cha masters. Hebu changamkieni mambo hayo>