Utumbuaji Majipu ni Mpango wa Mungu?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
37,551
47,205
Kwanini nasema kua utumbuaji majipu una mkono wa Mungu?

Sote tunafahamu kua kwa namna tunavyoishi katika jamii zetu...kuna baadhi ya watu wameegemeza utegemezi wa maisha yao kwa masangoma.

Sasa pale kila linapotokea jambo la kuhatarisha nafasi yake hukimbilia kwa Mtabibu wake, hakuna wa kumuondoa kwenye nafasi yake kwani anakua na kinga..

Kasi hii ya utumbuaji majipu naiona wazi kabisa kua ina mkono wa Mungu nyuma yake kwani inakwenda in disregard ya kinga kama zipo kwa yeyote yule.

Huu mpango wa kutumbua majibu umepata baraka kila mahali, sio bure, nchi lazima isafishike tu.
 
Back
Top Bottom