utumbo nje njeee!

nkyandwale

Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
64
Reaction score
15
Hivi karibuni wameibuka akina babu , bibi, dada na kaka kama Dr. wa kikombe kimoja anayetibu magonjwa sugu kule Loliondo Samunge. Baadhi ya mikoa hapa Tanzania bara na kule Zanzibari wameibuka wenye tiba bandia ili kujipatia kibaba cha lishe. Inadaiwa kuwa baadhi ya wateja walionja vikombe hivyo tofauti na kile cha babu wa Loliondo badala yakupata nafuu, na kuhangaika na maradhi waliyokuwanayo awali, sasa wanavalishwa pampasi kwasababu ya kuhara bila kukoma! Sijui hatima yao itakuwaje?:noidea:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…