umeacha hizi
maha...ni..th.......mbunge chadema
Kwanza
impotent sio sahihi kusema
------- ni uzushi kwa maana nyingine wewe na ccm wenzio ni wafa maji ........
Impotent means
non productive
Serikali ya ccm ni non productive in every aspect, Elimu, afya, kilimo, miundombinu, maji nk sasa kuna kosagani
kusema serikali hii ni impotent- non productive.
....waziri mpumbavu.....mbunge chadema
Ni kweli kabisa mawaziri wa serikali ya ccm niwapumbavu, nitathibitisha hoja na dhana hii
1. Elimu kuanzia kwa takribani miaka saba mfurulizo graph ya elimu inashuka na cha ajabu mwaka matokeo 2012 zaid ya
90% form four ni falure. Huu ni
upumbavu ulivuka mipaka hawa mwaziri wa elimu wanaliangamiza Taifa.
2. Afya mpaka sasa wenye uwezo wote wakiwemo wabunge mawaziri nk, wamegeuza India ndiyo kimbilio
je na sisi maskini tuende wapi? zahanati na hopitali za erikali zimebaki majina hakuna lolote zaidi ya majengo na upuuzi mwingine-tiba hakuna,
huu sio upumbavu wewe unakimbilia ujerumani kutibiwa raia wako wanateketea tena unaafukuza kazi madakitari!!!!!!!!!!!!
3. Kilimo mpaka sasa mkulima yule wa kijijini ndiye anayebeba gharama zote za kipuuzi, mfumko wa bei, bei ya ovyo kwa mazao yake, kuibiwa mazao yao mfano korosho, pamba na tumbaku, hata mafuta ya taa kwa faida ya mafisadi waakulima wanauziwa bei mbaya kisa matajiri wasichakachuwe petrol
huu sio upumbavu????
4. Usafiri wa anga mpaka sasa Rwanda hapo mjini Kigali wanandege zaidi ya Tano, tanzania pamoja na utajiri wote tunandege ngapi???
huu sio upumbavu???
5. Usafiri wa reli mpaka sasa tunasuasua na huu ndiyo usafiri wenye gharama ndogo na bora duniani hususan kwa mizingo, katika hili huko kenya wanaplani treni za umeme kwa abilia, sisi hata hizi line mbili kati na TAZARA tuko hooi bin tabani
huu sio upumbvu???
7. Maji safi na salama, mfano ni bungeni leo jion, maji yamezua mjadala mpana, miaka 50 tuko huru pamoja na rasmalimali nyingi tulizonazo watu wanalialia, pamoja na vyanzo kibao hali ni mbaya kabisa kwanini??
huu siyo upumbavu????
8. Umeme, tunaibiwa kila siku kwa mipango mibovu, mikataba ya ovyo IPTL, RICHMOND, nk umeme wa uhakika miaka 50 tuko huru hakuna sababu nini,
huu sio upumbavu???
rais ni mdini.........mbunge chadema
Mwenyekiti wa ccm taifa ni kikwete - ndani ya ilani ya ccm imeandikwa nini na katiba inasema nini??
Kama Rais, kwanini katika utawala wake kuna matukio zaid ya 70 kuchomwa au kuhalibiwa nyumba za ibada amekamata na kufunga wangapi? kama bado amewachukulia hatuagani maafisa polisi waloshindwa kuwakamata wahalifu kama hapana yupo upandegani? tusaidie jibu!
Ni vipi baadhi ya wahubiri kuachwa wakifanya uchochezi kwa vibali vya serikali yake nchi nzima wakihamasisha mauwaji bila kuchukuliwa hatua. Baada ya miezi sita mbegu kumea, watu wanauwana watu wanagombania kuchinja ndiyo rais na serikali yake anakurupuka huu sioyo udini? alikuwa anangoja watu wachinjane au yeye ni sehem ya mkakati siasa udini!!
Mawaziri ni wapumbavu na huu ni ukweli, unaweza kukanusha kwa kupinga kila hoja niliyoiweka hapo juu????