Kwa wanaofuatilia Mijadala
ya Bunge watakubaliana na mimi kwamba tangu Wabunge wapenda vurugu
waliposimamishwa kushiriki Vikao vya Bunge,hali ya utulivu imerejea
Bungeni.Hivi ndivyo Bunge letu linavyotakiwa kuendeshwa kwa Wabunge
kujenga hoja zenye manufaa kwa Wananchi na siyo kila siku kuomba
miongozo isiyo na tija.
Kwa wanaofuatilia Mijadala ya Bunge watakubaliana na mimi kwamba tangu Wabunge wapenda vurugu waliposimamishwa kushiriki Vikao vya Bunge,hali ya utulivu imerejea Bungeni.Hivi ndivyo Bunge letu linavyotakiwa kuendeshwa kwa Wabunge kujenga hoja zenye manufaa kwa Wananchi na siyo kila siku kuomba miongozo isiyo na tija.
Mkuu Mbogo-1 angalia kauli hizi kama mfano tu.
Siongei na mbwa (mbunge) naogea na mwenye mbwa (kiti cha spika) - mbunge ccm
wagunge wanamimba zisizotarajiwa - mbunge ccm
Camooon ---- you - mbunge ccm
Slaa anafanya mikutano na viongozi wa kidin na cdm ni wapuuzi sana - mbunge ccm
bajeti ya wapinzani kutupiliwa chini - mbunge ccm
Ni baadhi tu ya kauli hatarishi za kuudhi na kupelekea vurugu bungeni, tafakali angalia chanzo (source) sio matokeo
(outcomes) be smart in your presantation.
umeacha hizi
serikali ni maha...ni..th.......mbunge chadema
....waziri mpumbavu.....mbunge chadema
rais ni mdini.........mbunge chadema
Hakusema hivyo bali alitumia neno la Kiingereza impotent akimaanisha dhaifu. Tuangalie context ndipo tutajua alimaanisha nini. Kwa hiyo Mhe. Wenje hajatukana.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums