Utu ni moja ya misingi mitano katika dira 2050

Mwakongo

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
60
Reaction score
15
Kila mmoja wetu anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake, kulindwa na kuhakikishiwa faragha yake.

Hapa niseme tuh chini ya Rais Samia Amefanya na anadelea kutekeleza Dira hii ambayo imezinduliwa itakuwa na Maono chanya kwetu na kila Mmoja wetu yaani Mimi na tunahaki zote za Kuheshika na Kulindwa pia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…