Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,282
- 10,923
AI artsDaaaah!
Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video.
Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli?
Utu uko wapi?
Ubinadamu uko wapi?
Tena hii kitu inarushwa LIVE kabisa, na mashabiki wa kutosha ukumbini.
Aisee, utafutaji mgumu sana.
View attachment 3408953
Usidanganyike dogo
Doh 😁, mama akaona bora amalizane na tukio la kuletewa mjukuu kwa wema kabisaNilikuwa nanunua fufu pale mataani, nikiwa nasubiri chenji yangu, nikamuona mwanamke anatembea na mtoto lakini mtoto anatembea kwa kasi kuliko mama yake. Ghafla mwanamke akapaza sauti akasema... “Degree!! Ningoje!”
Kwa kweli nilishangaa sana kusikia hilo jina. Ili kutuliza shauku yangu, nikamsogelea yule mama nikamuuliza, “Mama, mbona unamwita huyu mtoto mdogo Degree?” Mama akacheka kisha akaniambia, “Mwanangu, nilimtuma binti yangu chuo kikuu, na hiki ndicho alichoniletea nyumbani!”
Sawa kamkubwa!Usidanganyike dogo
Hilo Zungu lilijichanganya!Ujue sio kono la mweusi 😂😂😂