UTPC ni chafu pia inalenga kumhujumu rais

UTPC ni chafu pia inalenga kumhujumu rais

dira

Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Ufisadi UTPC

Napenda kuanika kwa uwazi ufisadi mkubwa ulioko ndani ya umoja wavilabu vya waandishi wa habari nchini utpc unaoongozwa na mkurugenzi mtendaji wake abubaka kasan.

Kasan amekuwa akizitumia fedha hizi ambazo nyingi ni msaada kutoka kwa wahisani mbalimbali kwa matumizi binafsi baada ya kuhalalisha matumizi yake kwa kutumia baadhi ya vingozi wa vilabu vya mikoani.

Aidha amekuwa akitumia fedha hizi kwa ajili ya kufanya vitendo vya kinyume cha maadili ikiwemo mapenzi na baadhi ya viongozi wa kike wa vilabu mbalimbali huku wanachama wa vilabu wakiwa hawana wanachofaidi kutokana na michango ya wahisani wanaotoa fedha zao lengo la kuwainua wanahabari.

Mfano wa hivi karibuni ni ule wa utpc kuamua kumoa tuzo absalom kibanda tuzo ambayo hata haina maelezo yenye mashiko yanayoonyesha alistahili kuipata kwani kuna kazi nyingi ambazo zimefanywa na wanahabari wengi hapa nchini kwa mwaka mzima uliopita ambao walistahili kuipata tuzo hiyo.

Hata hivyo ni wazi kuwa tuzo hiyo umetolewa kinafiki kwa kibanda ili kuficha ubaya ambao utupc na washirika wake waliomfanyia kibanda wakati alipopata matatizo ya kuvamiwa.

Ikumbukwe dira kupitia mitandano ya kijamii ilielezea siku chache vile baadhi ya wanahabari wakiwemo viongozi wa utpc , viongozi wa jukwaa la wahariri neville meena na mhariri mkuu wa nipashe jese kwayu, walivyokuwa wakijua kilichompata kibanda na kwamba wote wanajua ni sababu za kisiasa baada ya kibanda kuhama kampuni ya mwanasiasa mmoja na kuingia kampuni ya mwanasiasa mwingine.

Dira hii ilieleza jinsi wanahabari hawa na baadhi ya viongozi wa utpc wanavyoshiriki kuwadhuru wanahabari ikiwemo ile ya kutaka kudhuriwa mhariri wa mwananchi denis msacky pamoja na wengine kadhaa, leo hii iweje kibanda huyo huyo anauzwa na utpc kisha mkurugenzi mkuu wa mwananchi ndiyo mgeni rasmi, kasan atueleze.

wote tunajua ya kuwa kasan na utpc yake wanajua wazi kuhusu kifi cha mwangosi na jinsi kilivyotokea, dunia nzima inajua vile utpc ilivyoshiriki kuzima harakati za kupata ukweli wa kifo cha mwangosi leo hi iweje wanatumia jina lake kujitangaza kinafiki.

Wote tunajua ya kuwa aliyesabisha polisi wamgundue mwangosi na kumpiga na kumtokea yaliyotokea ni mwandishi wa gazeti la nipashe ambae baada ya kuwaonyesha polisi mwangosi ni yupi akakakimbia na wakati uchunguzi unaendelea bosi wake ambaye ni jesse kwayu akmhamishia ofisi ya nipashe iliyoko moja ya mikoa ya kanda ya kaskazini.

Mwangosi kilichomuua ni unafiki wa wenzake ambao walidai anaisaliti chadema na mwandishi huyo aliesababisha akapigwa na kisha kuhamishwa na bosi wake ambae ni jese kwayu amepewa jukumu la kupambana na waandishi ambao mweleko wao hauendani na chadema. Na hili ndilo lililompata kibanda baada ya kuhama kampuni ya kigogo mmoja wa chadema kwani walidai ameondoka na siri nyingi na ambazo zinaendelea kuvuja.

Ikumbukwe dira hii ilitoa siri ya kuwa chadema imepeleka vijana mombasa kujifunza ugaidi na kuwasambaza mikoa yote, walipojua imejulikana wakajidai wanaanzisha kikosi maalum cha kujilinda ili kuhalalisha kikosi chao matokeo yake operesheni tokomeza ilipoanza vijana wanashikwakwenye mapori mbalimbali hapa nchini na wao hawasemi kitu.

Dira pia ilitoboa kupitia mitandao ya kijamii ya kuwa kuna nchi ya nje inaifadhili chadema kutanga kuiangusha serikali viongozi wake wakaruka kimanga lakini baada ya watu kusahau, viongozi wa chadema wakajitokeza na kusaini mkataba na nchi moja ya ulaya kuhalalisha siri hiyo ya ufadhili haramu.

sasa hivi viongozi wote wa chadema ambao walikuwa wanapingana na siasa za mbowe na wenzake za kutaka kuipindua serikali ndiyo waandamwa ili watolewe kafara, angalia yanayomkuta zitto kabwe, mwenyekiti wa arusha aliesimamishwa, meya wa manispaa ya moshi nawengine wengi.

Ombi letu ni kuwa uchunguzi wa kina ufanywe ikiwemo ndani ya utpc ambayo imetumiwa sana kutka kuivuruga nchi hii. Tayari kuna habari ya kuwa utpc inawalinda baadhi ya viongozi wa vilabu kwenye baadhi ya mikoa kwa kuhakikisha chaguzi zao hazifanyiki ili waendeee kuwatumia kwani utpc ni moja wapo ya taasisi za umma ambazo zimepatiwa fedha
 
Haya "NJOO SASA HIVI U-COLLECT BUKU SABA YAKO HAPA LUMUMBA narudia tena SASA HIVI"
 
Majungu at work ulikuwa wapi kuelezea kifo cha Mwangosi mwaka umepita unaleta majungu. Mbona hueleweki wewe ni mwandishi, ccm au ?!
 
Hata ulichoeleza hakieleweki. Et wanafcha kifo cha mwangosi!! Nani hajui mwangosi aliuwawa na nani?
 
............IS THE HOME OF THE DEVIL!!! Fanyeni kazi ionekane na mtazawadiwa acheni fitna na majungu kwani hayajengi.
 
...Niliingia humu ili Kusoma jinsi 'UTPC inavyomhujumu Raisi' lakini naona habari nzima imekuwa ni kuhusu Kifo cha Mwangosi na Chadema! Kajipange upya Mkuu uje Kivingine labda Tutakuelewa!!
 
Back
Top Bottom