Nasian Ressy
Senior Member
- Jul 12, 2026
- 122
- 317
πππBikra yako unaitangaza sana mkuu sijui unataka kuonewa huruma na manz moja ya JF ikutunuku punani ama vip
Paroko wa parokia gani?Niliweka viapo katika maisha yangu sitawahi zini,sitawahi oa,wala kununua malaya kabisa. nipo 47 yrs purely sexless nasitawahi dhubutu kuvunja viapo maisha yangu yote.
Unajiskiaje unakuwa na furaha muda wote? Unahisi hamna kitu kinapungua kabisa kwenye maisha ,maisha yako watu wanakutafsiri vipi?Niliweka viapo katika maisha yangu sitawahi zini,sitawahi oa,wala kununua malaya kabisa. nipo 47 yrs purely sexless nasitawahi dhubutu kuvunja viapo maisha yangu yote.
Joseph Mfanyakazi !Paroko wa parokia gani?
Wewe na mauzinde tofauti yenu ni masikio tu.Niliweka viapo katika maisha yangu sitawahi zini,sitawahi oa,wala kununua malaya kabisa. nipo 47 yrs purely sexless nasitawahi dhubutu kuvunja viapo maisha yangu yote.