Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Mdee alitamka Spika "Fala na Mpumbavu".
Makonda alitamka Wabunge " wanasinzia" ndiyo maana haeamuelewi ktk harakati zake za kupambana na madawa ya kulevya.
Sasa kwa kauli hizo mbili ni IPI ambayo ni mbaya zaidi kwa Jamii?
Mbowe akatukana Taasisi ya CCM, Akatukatuka taasisi ya Rais. Je nani mharifu zaidi?
Kamati ya Maadili ya Bunge ikiamua kuwa msimamizi wa haki, na ikaamua kumuomba Rais amuondoe Makonda kwenye U-Rc , je Wabunge wale wale nao waachie Madaraka yao ya kibunge ? Kwa sababu mkosewa ni Yule Yule Bunge. Wana JF toeni michango yenu kwenye hili. Mnadhani uamuzi gani ukitolewa utakuwa sawa .