barehe ilinifumania himelalia bench nilihis utam wa ajabu tangu Siku iyo ikawa ndio mchezo wangu! niliendelea na tabia hiyo had nikahic mi ndo mgunduzi wa puchu! hakika nilikithiri sana kwa mchezo huo mchafu kwan wanawake walionivutia niliwacheki vizuuuuri mchana alaf usiku niliwatafuna kwa hisia tu! nilijikuta nimeacha glafla baada ya kuingia advance. kiukwel niliathirika kisaikolojia ilifikia wakati. nilihisi sitakuja kuwa na uwezo wa kupata WATOTO. Mungu ni mwema, sababu chanzo ilikuwa ni utoto na nilivyoamua kuacha kwa dhati na kutubu, amenijaalia na sasa Nina watoto 2 na afya yangu ni
njema kabisa. kweli utoto ni ishu. asante mtoa mada kwa kutukumbusha tulikotoka!