utoto raha jamani

utoto raha jamani

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Natamani nirudi utotoni. Sijui bili ya maji, umeme. Nachojua mimi ni kucheza na kula tu.
uploadfromtaptalk1364632754072.jpg
 
Kuna imani kuwa baada ya kufa kuna kurudi tena kwa njia ya kuzaliwa upya na hivyo kufaidi hiyo raha ya utoto tena na tena
 
Back
Top Bottom