Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Nategemea matusi kwa watu wenye jazba na wasio tafakari mambo. .mimi nina mapenzi mema na CHADEMA ndo mana nataka tukumbushane tunapokosea si kuteteana tu na kupeana sifa. Kwanza kabisa kama mnavyojua ktk uchaguzi wa wabunge polisi na ccm walifanya kila kimbwanga kuhakikisha hatuchukui majimbo sehemu nyingi walifanikiwa ila kwingine watu walijituma na kura hazikuibiwa tukapata viti. .sasa 2013 naona kama wabunge wamejisahau na makosa yao ndo hoja za CCM 2015, kumekua na utoro wa wabunge wa CHADEMA bungeni
wafuatao ndo kama wameachiwa kukabiliana na CCM bungeni
wafuatao cjui niwaite watoro au wamejisahau
nliowataja chini hasa namba moja mbunge wa Moshi Mjini, yani ingetokea ile siku ya vurugu CCM wangeamka tupigane tungepigwa sana sababu tuko wachache. .
Mh.Ndesamburo, Moshi hawapati uwakilishi bungeni ni bora basi uteue waku kukaimu.
Mh.Zitto Kabwe kapewa vitengo vya kum-keep busy na kumnyamazisha,
Lema sijui anaendaga wapi lakini huyu ndo angetakiwa afike bungeni saa kumi na moja kwani kwa kipindi kirefu alistopishwa ubunge,
Arfi anaonekana kwa nadra sana,
Nasari tulitegemea uwashe moto sana ila unashindwa hata na dada Halima Mdee, Shibuda ndo duh ila nahisi anakaaga siti za wabunge wa CCM.
All in all 2015 kupitia uwakilishi mzuri bungeni tunaweza kujipatia majimbo mengi zaidi kwan wananchi watakua na imani nanyi.
Mwisho kabisa napenda nimpongeze mh. Joseph Mbilinyi Sugu, huyu jamaa ana confidence na ana moyo ana wakilisha vizuri angepata ka degree kamoja tu ka sheria hata tundu lisu asingeona ndani

- John Mnyika
- Halima Mdee
- Tundu Lissu
- Freeman Mbowe
- Peter Msigwa na yule mama wa Iringa mweny bifu na Lukuvi
wafuatao cjui niwaite watoro au wamejisahau
- Philemon Ndesamburo
- Zitto Kabwe
- Mh Arfi
- Godbles Lema
- < Shibuda & Nassary & Kiwia>