Utoro wa wabunge ktk vikao vya bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utoro wa wabunge ktk vikao vya bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sooth, Apr 16, 2011.

 1. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Wabunge 128 kati ya 350 (sawa na 36.57%) hawajahudhuria kikao cha bunge leo kinachoendelea Dodoma. Kura iliyopigwa leo kuhusiana na kifungu fulani cha sheria kimethibitisha hili. Najua kuna ambao wameshindwa kuhudhuria kwa sababu mbalimbali za msingi (k.m. ugonjwa, n.k), lakini bado idadi hii ni kubwa hasa ukifikiria pesa na posho wanazolipwa.
  Je bado tunahitaji kuendelea kuongeza majimbo ya uchaguzi na idadi ya 'wawakilishi' wasiotuwakilisha?
   
Loading...