Huu ni upuuzi! Kama hii haikuwa rushwa;wanajF, nimesikitika sana kusikiza habari ya TBC mchana huu kuwa jairo hakuomba hela kuwahonga wabunge bali aliziomba idara zilizo chini yake kuchanga hela kufanikisha bajeti na hakuna ushahidi wa wabunge kuhongwa na pia anasema hakuziagiza idara hizo bali aliziomba.Ukisoma habari hii inajichanganya changanya na haina mwelekeo wa kiakili.kwani kuomba au kuagiza sii mwanzo wa rushwa? hilo ombi alitoa la nn??? hizo hela ziende kwa nani?? naona kuna mchezo mchafu unachezwa.kwa mliosikiza news hebu tujuzeni vema na mwenye hiyo tarifa aiweke kwa kina hapa.samahani kama itakuwa imeshatolewa hapa ila sijaiona.natanguliza.
Huu ni upuuzi! Kama hii haikuwa rushwa;
- Fedha zilizoombwa kwenye hizo idara zilitolewa kwenye fungu gani?
- Payment vouchers za malipo haya huko kwenye idara zinaonyesha yalikuwa malipo ya nini?
- Hizo fedha zimefanikishaje hiyo budget?