Utofauti wa mita za maji

Utofauti wa mita za maji

KiwandaniTz

Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
44
Reaction score
38
Poleni na majukumu. jamani anaeweza kuniambia u tofauti kati ya mita ya biashara na ya nyumbani ya maji kwenye upande wa malipo wa uniti za maji.au hamna utofauti .

Natanguliza shukrani
 
maana idara ya maji wanasema nibadili jina la mita kuwa ya biashara
Watakuchaji nyingi kwanza sidhani kama inaruhusiwa kuuza haya ya dawasa labda maji ya kisima chako ulichochimba na kama ni kisima chako kuna mita zinauzwa madukani kama mteja unampelekea maji kwake hiyo mita ndii unamfungia haiusiani na ile ya dawasa
 
Back
Top Bottom