Utofauti kati ya mwanamke na mwanaume

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:

```1. Kwenye mshituko;```
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua

```2. Kwenye kupenda;```
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae

```3.Kwenye kusaidia;```
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika

```4.Kwenye maamuzi;```
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri


```5.Kwenye kudanganya;```
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume

```6.Kwenye ugomvi;```
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, ```kesho tena```

```7.Kwenye ndoa;```
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha

```8.Kwenye kukata tamaa;```
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe


```9.Kwenye kula;```
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba

```10.Kwenye siri;```
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu



Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo nyingi...

Endeleza
 
11:Mwanaume hutafuta pesa na mwanamke huzikodolea macho.

12:Mwanaume ni mdhaifu kwa mwanamke lakini mwanake ni jasiri kwa mwanaume.

13:Mwanaume si mng'amuzi wa mambo kwa haraka.Mwanamke ni mng'amuzi wa mambo kwa haraka sana. Mf. Mtoto kuwa ni mjamzito au la, mwanamke mkorofi ila amejificha kwenye koti la upole hasa mke, mama, bibi ni rahisi kutambua.

14:Mwanaume sio smart sana katika kupangilia mambo yake kuliko mwanamke.

15:Mwanaume huweza kuchukua "hatua" au uamuzi kwa taratibu sana ila mwanamke huchukua maamuzi haraka zaidi. (Hata katika mambo ya utendaji mwanamke yupo sharp.

16:Mwanaume si mchangamfu saana kama mwanamke.

17:Mwanaume ana huruma zaidi kuliko mwanamke.

18:Mwanaume si mtembezi sana na si mpenda safari kama mwanamke.

19:kwenye mambo ya kuchagua, mwanaume yupo poor zaidi kuliko mwanamke.

20:Kwenye ku-hold more parameter za kuchakata kichwani mwanaume yupo chini, mwanamke yupo juu zaidi ya mwanaume,lakini kwenye kufikiri katika mambo solid mwanaume yupo juu kuliko mwanamke.

21:Kwenye kupenda mambo delicious mwanamke yupo juu.

22:Kwenye mambo ya kufuatilia "UPDATE" ,Ubuyu,n.k upande wa "KE" ni zaidi

23:Mwanaume yupo less sensitive kwenye masuala ya ku-take care kuliko mwanamke.

24:Kwenye masuala ya kuangalia na utambuzi wa haraka, mwanaume yupo taratibu sana lakini mwanamke anaweza ku-collect more information kwenye mazingira mageni na kuyachakata haraka sana kichwani,anaweza kukutana na mtu mara moja hata kwa dk 2 tu ila anaweza kumuelezea physical morphology and appearance yake usoni kuliko ilivyo kwa mwanaume hata kama unalala na kuamka naye kila siku.

25:Katika uvumilivu, mwanaume ni mvumilivu wa shida ngumu za kutumia nguvu kwa muda mrefu kuliko mwanamke ila shida za kuumiza akili mf. mateso ya akili,mwanamke ana uvumilivu wa kiwango cha lami.

26:Mwanaume hawezi kukaa na kitu moyoni kwa mda mrefu and more na ni aggresive, analipuka haraka zaidi ila mwanamke anakaa na kitu moyoni kwa mda mrefu huku akipanga attack kwa utaratibu bila kulipuka kwa haraka na ni less aggresive.

27: zipo nyingi ila nimalizie kwa kusema mwanaume ana nguvu ya pesa na mwanamke ana nguvu ya ushawishi ya kuzipata hizo fedha kwa matumizi na huomba mara nyingi iwezekanavyo bila soni wala aibu hata kama zitakuishia yeye hajali kukuacha mtupu.
 
Hivi ni tofauti za kisaikolojia is it?ngoja nitoe yangu
Mwanaume anahitaji sifa mbali mbali kwa kujiridhisha kuwa na wanawake wengi wakati mwanamke anahitaji sifa zote azipendazo kutoka kwa mwanaume mmoja tu.mbarikiwe sana Amen
 
c28b420d441d4070d37557ad279cf1d7.jpg


Hao viumbe wala sio kufaninisha na sisi, mwanaume ndo wakwanza kuumbwa lakini yupo simple ila hio edition ya ke.. ni complex
 
Hivi ni tofauti za kisaikolojia is it?ngoja nitoe yangu
Mwanaume anahitaji sifa mbali mbali kwa kujiridhisha kuwa na wanawake wengi wakati mwanamke anahitaji sifa zote azipendazo kutoka kwa mwanaume mmoja tu.mbarikiwe sana Amen
noma saaana
 
Back
Top Bottom