Utoaji wa mkopo kwa diploma 2017-2018

Utoaji wa mkopo kwa diploma 2017-2018

naija-lojja

Senior Member
Joined
May 13, 2017
Posts
163
Reaction score
64
Polen na majukumu wakuu, kwa miaka ya nyuma kulikua na utoaji wa mkopo kwa diploma wanaosoma vyuo vya selikali , naomba kujua kwa ss ivi hili jambo bado lipo? Na kma lipo muombaji anafata protocal gani??
 
Sidhani kama kilishawahi tokea kitu kama hicho, ila ninachojua mimi kama umechaguliwa kusoma diploma under government sponsorship yaani badala ya kwenda form five ukaamua kwenda vyuo vya ufindi kama MUST,DIT,ATC au Water Institute (WI) hapo kweli utalipiewa ada na utapewa pesa ya field na msosi utakuls bure chuoni (utalipiwa na serikali) ila kama wewe mwenyewe umeamua kuomba kusoma diploma either umetoka form 4 au 6 bhasi wewe utajilipia kila kitu hakuna mkopo kwa wanafunzi wanaosoma diploma isipokuwa kwa chuo kimoja tu , chuo cha maji (WI) wao wanatoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wao tu wa dip au cert
 
Mkuu hebu fafanua hiyo government sponsorship mtu anaipataje kwenye hivyo vyuo?
 
Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zao
NB: SIJAWAHI KUSIKIA NJIA NYINGINE YA UFADHILI WA SERIKALI KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA SO KAMA IPO HATA MIMI MNIJUZE
 
Dah umeelewaeka sn mkuu
 
Kwa kuongezea tu ni kuwa unapangiwa vyuo vya ufundi kama unavyopangiwa kwenda shule za form five lakini lazima uwe na pass mark zinazotakiwa kwa kipindi cha nyuma hao waliokuwa wanachaguliwa lazima wawe wamepass masomo ya science na kuna gharama nyingine kidogo za kulipia kama shule za serikali za form five ambazo ni kama usajili ambao haufiki 50,000, ada ya mwaka ambayo ni 140,000 ,vitambulisho nk
 
Sidhani kama kilishawahi tokea kitu kama hicho, ila ninachojua mimi kama umechaguliwa kusoma diploma under government sponsorship yaani badala ya kwenda form five ukaamua kwenda vyuo vya ufindi kama MUST,DIT,ATC au Water Institute (WI) hapo kweli utalipiewa ada na utapewa pesa ya field na msosi utakuls bure chuoni (utalipiwa na serikali) ila kama wewe mwenyewe umeamua kuomba kusoma diploma either umetoka form 4 au 6 bhasi wewe utajilipia kila kitu hakuna mkopo kwa wanafunzi wanaosoma diploma isipokuwa kwa chuo kimoja tu , chuo cha maji (WI) wao wanatoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wao tu wa dip au cert
Yes you make sense ila pia hapa WI kuna mfuko wa mafund sanifushirika la german wanatoa mkopo kwa kujaza fomu maalum.wanaopata ni kidogo sana asilimia kubwa ya wanafunzi wa NTA 4-6...wanajilipia as private .kuna siku nilisikia ndalichako anafanya mpango wa diploma wapewe mikopo.sijamsikia tena sijui tamko la hawa wanasiasa linashughulikiwaje.utawala wa magu kama utakuwa na hela utatoa mkopo kwa wote miaka ya mbele
 
Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zao
NB: SIJAWAHI KUSIKIA NJIA NYINGINE YA UFADHILI WA SERIKALI KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA SO KAMA IPO HATA MIMI MNIJUZE
Mbali na ivyo mkuu,kwa mfano vyuo vya mifugo kwa ngazi ya dip na cert unaweza ukapata gvt sponsor kama tu kwenye ile form unayojaza ukaandika kwamba unataka gvt au utajilipia mwenyewe mi nilisoma kwa gvt sponsor na nilitokea form 6,
 
Diploma anaepewa mkopo ni yule under udhamini wa serikal , ambae amechagua diploma badala la form five
 
Uko sahihi mtoa mada. Serikali kupitia bodi ya MIKOPO ya elimu ya juu itaanza kutoa MIKOPO KWA wanafunzi wanaosoma diploma ktk vyuo vya serikali. Hayo yalisemwa na katibu MKUU kiongozi balozi John Kijazi wakati wa siku ya wahandisi Tanzania tarehe 7 September, 2017 Mjini Dodoma. Pia sheria tayari ilishapitishwa na bunge kinachochelewesha utaratibu huu usianze mwaka huu ni kwasababu MIKOPO ya hawa wanafunzi haikuwepo kwenye budget hii tunayoendelea nayo ila KWA mwakani MIKOPO itaanza kutolewa.
 
Yes you make sense ila pia hapa WI kuna mfuko wa mafund sanifushirika la german wanatoa mkopo kwa kujaza fomu maalum.wanaopata ni kidogo sana asilimia kubwa ya wanafunzi wa NTA 4-6...wanajilipia as private .kuna siku nilisikia ndalichako anafanya mpango wa diploma wapewe mikopo.sijamsikia tena sijui tamko la hawa wanasiasa linashughulikiwaje.utawala wa magu kama utakuwa na hela utatoa mkopo kwa wote miaka ya mbele
Soma post yangu hapo juu
 
Samahani mkuu, unaweza ukaniambia ulifanyaje maana kunacourse ninahitaji niende kuisoma lakin kwa ngazi ya degree cutting points haziniruhusu lakin nikipitia diploma ninakidhi vigezo,. Naomba kusaidiwa hapo
 
pia kwa ARUSHA TECHNICAL COLEGE kuna kozi mbili kama umeapply kama private na kuchaguliwa kwenye kozi hizi OIL AND GAS ENGINEERING au HYDEOELECTRICAL ENGINEERING unapata Government sporsorship kama wale wa directly frm sec.
 
Samahani mkuu, unaweza ukaniambia ulifanyaje maana kunacourse ninahitaji niende kuisoma lakin kwa ngazi ya degree cutting points haziniruhusu lakin nikipitia diploma ninakidhi vigezo,. Naomba kusaidiwa hapo
Tahadhari: Hebu check faster, nafikiri maombi ya programs za certificate na diploma kupitia NACTE wanafunga kesho. Sijui kama wao pia wana round nyingine . Fanya hima.
 
Back
Top Bottom