Utoaji wa mimba na kukataliwa kwa mimba

Utoaji wa mimba na kukataliwa kwa mimba

award_jr

Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
15
Reaction score
2
Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba?

Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba?

Na nini athari za yote haya mawili?
 
1. anatoa haitaki kwa wakati ule
2.Hahitaji jukumu hilo kwa wakati ule
3.Kuua vizazi na kupata dhambi

Usiniulize kwanini wameipata wakati hawahitaji maana hata mimi wananishangazaga sana
 
Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athali za yote haya mawili????

Mwombe Mungu yasikukute halafu binti mwenyewe ni mtoto wa shule na mzazi wake ni bwana jela....majibu yote utayapata hapohapo tena bila kuibia
 
Kweli kabisa huna JIBU wala JAWABU kwenye hayo maswali yako? me hata siamini.
 
Back
Top Bottom