Elections 2010 Utitiri wa matawi ya CCM United Kingdom!! Njaa ama Kujipendekeza?

Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?

So ulitaka wafungue matawi ya CHADEMA ndio ufurahi?? Inaonekana wewe ndio unajipendekeza uonekane unajua sana
 
Wanaofaidi matunda ya ufisadi ndio wanaofungua matawi mtu aliyeishi huko mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga wa kufungua mata wi ya CCM

mwenye akili timamu afungue matawi ya chama gani???chadema au cuf ??mnafikiri watanzania wenye akili timamu huku ughaibuni hawajui hivyo vyama ni vya nani??
 
Jamani njaa haina BAUNSA. Kufungua matawi hayo kumesababishwa na njaa. Vijana wamebeba mabox mpaka wamechanganyikiwa lakini hawana pesa. Sasa wanafikiri labda watamaliza njaa zao kwa kufungua matawi ya ufisadi huko Ughaibuni. NI AIBU KUBWA SANA HIYO. Mbona hapa Tanzania hatuoni matawi ya vyama vya siasa kutoka UK, USA na kwingineko?.

Hi 5!!!
 
mwenye akili timamu afungue matawi ya chama gani???chadema au cuf ??mnafikiri watanzania wenye akili timamu huku ughaibuni hawajui hivyo vyama ni vya nani??

Mwenye akili timamu hana muda wa kukaa na kupanga kuwagawa Watanzania katika misingi ya kiitikadi huko ughaibuni. Tatizo ni kuwa wengi wa wanaofungua matawi ya chama tawala ni waganga njaa na wanafiki, hawana uzalendo wala uchungu wowote kwa taifa lao. Hawakerwi na jinsi rasilimali za taifa zinavyotapanywa kwa kuwa wananufaika na kunenepa kwa makombo wanayotupiwa na mafisadi walioiteka CCM na kuiendesha serikali, ole wao siku CCM inawekwa benchi !
 
Kwanini tuwe na matawi ya Chama? Ina Maana hatuwezi kuendelea kimaendeleo mpaka tujaunge na kuimarishwa na CCM Nje ya nchi? Kuna Wakenya Wengi UK na USA sioni wakiwa na muungano wa vyama vyao vya kisiasa na wemeendelea sana kuliko sisi wabongo

Tuamke Jamani Tuachane na Ujinga huu...
 
umuhimu wa matawi ya chama upo ndo maana hata wewe unaweza kuandika hapa kwa jazba na wengine pia wanaoweza kuandika kuhusu chama ughaibuni otherwise ingekuwa haina haja hata ya kujadili kitu ambacho hakina maana..kwani chama ni nini???ukielewa maana yake haitakuchukua tena muda kuuliza umuhimu wake kwenye jamii ya wa2 wawe nyumbani au ughaibuni!!!!hayo ya wakenya hatuwezi kuongelea hapa wako wenyewe wanaojua kinachoendelea kwao na kwenye jamii yao huku ughaibuni!!! usiwe mjinga!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
UK miaka yote inaeleweka ni nchi wanaharakati wote wanaamia huko na huko UK harakati nyingi hasa nchi za Afrika zilianzia huko sio Marikani, US watu wakienda huko wanakuwa busy na maisha akilizao hazifikirii vitu vyengine

Statistic inaonyesha kuwa American are most ignorant people around the world, hawajui mambo mengine zaidi ya yaliyokuwepo USA, nadhani wakina Nerere, Samora, Mandela wanelewa UK ndio chanzo cha harakati zote

UK kuna Branchi nyingi za kila chama vyote duniani na hao CCM ndio chama cha mwisho kuingia UK, CUF kilitangulia UK miaka mingi na kina wafuasi wengi zaidi kuliko CCM huko UK, wanachama wa CCM UK ni vijana wanaotokea MARA ambao hawafiki hata 100, wakati CUF wengiwao nikutoka ZNB ambao ni wengi zaidi

Nategemea tawi la CHADEMA litafunguliwa hivi karibuni kule VATICAN sio UK, kwa sababu watu pale UK wanaelewa Chadema ni chama cha namna gani, kwa hiyo wasitegemee kupata mwanachama pale UK
 
I always thought mwanzilishi wa mambo ya 'CCM UK' akiondoka kutakuwa na mwanya na hizi mbwembwe zote zitaisha. I think sikukosea, hapa hata si zungumzi mama balozi nazungumzia mwenyekiti wa jumuiya yetu aliemaliza muda wake.

Lets face it ni yeye ndie aliekuja na huu ubunifu na janja ya nyani kuwapa watu mikadi ya CCM, kutumia ucheshi wake be it wakinafiki at times. Sasa tena hana muda na huu upuuzi 'CCM UK' yupo busy na Siasa za Afrika (akimpambia rafiki yake anaegombea ubunge) and i dont think there's anyone left who can cope or having the skills to deal with the challenges of continuing the development of this stupidity. Its only a matter of time before this nonsense ceases to exist.

Kwanza hata amna the same publicity na most main players wameamua wajiendelezee na shughuli zao za kimaisha kupata mlo kwa namna wanazozijua wao 'he he he' mwenyekiti mstaafu bwana sijui kwa nini alwaongopea wenzake, alafu mbio yuko busy na miradi yake sasa sidhani hata kama anataka kuusikia huu upuuzi tena.
 
ndo uzuri wa kila m2 kusema kilicho akilini mwake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mimi nazungumza ukweli ambao bado nyie wanachama (kama wewe ni mmoja wao) bado auja hit home. Umeona kikao cha majuzi cha shina moja jina kapuni yaani ilibidi niseme jamaa ni wapo deteremined maana mahudhurio si yale ya mbwebwe tena na makulaji na nini, yaani labda kuna mmoja au wawili pale kati ya watu nane walioudhuria wanajua something the rest us havent got it. As for that branch ever developing ni ndoto tu and u know that.
 
good point!!
 
we kweli vuvuzela maana kazi ya vuvuzela ni kuwapigia wa2 wengine kelele!!!!!we inakuhusu nini?ccm ni ya wanachama wa ccm popote walipo!!!!uwe kijijini Geita au Birmingham.Fanya utafiti kwa viongozi wa ccm UK halafu mtaje huyo mwenye njaa na umtaje huyo anayejuana na mafisadi wa bongo...zaidi ya wao kuhangaika kuunda jumuiya za watanzania ili ziwe chachu ya kuhamasisha maendeleo.Tatizo lenu kila ambaye yupo ccm basi msaliti wa nchi sio hivyo wapo wenye malengo tofauti na yenye nia njema. wakati wengine wanatumia hela zao wenyewe kuhangaika na Utanzania mijitu mingine inaleta uvuvuzela

Vuvuzela ,nakuunga mkono.
Kwanza ujue kwamba CCM ya London ni uswahili mtupu,huko Reading ni choo sana.
Wengi wanaojiunga ni wapiga mabox wa kutupwa,wengi makaratasi yamegoma au wanataka kurudi TZ,hivyo photo opportunity inawasaidia kwa nafsi yao.

Also ujue wa TZ wa UK elimu yao sio kama ya wa TZ wa USA,wengi states wamesoma kuofautisha mabaya na mazuri ya siasa za Tanzania.

Huyo Mama Maajar alikuwa Balozi wa CCM nchini UK,hakuwa anawakilisha TANZANIA.
Tutaona akiwa huko USA,kama atafanya kama UK,matawi ya CCM kila kona,ajabu sijui yanakuwa funded na nani.

States wana vyama vizuri tu vya kimaendeleo,Houston,Wichita,Minnesota etc.
UK ni ujinga wa hali ya juu,viongozi vilaza wa CCM imekuwa kama playing grounds yao,na
kukutana na ugly women walioko huko.
 
UK miaka yote inaeleweka ni nchi wanaharakati wote wanaamia huko na huko UK harakati nyingi hasa nchi za Afrika zilianzia huko sio Marikani, US watu wakienda huko wanakuwa busy na maisha akilizao hazifikirii vitu vyengine

Statistic inaonyesha kuwa American are most ignorant people around the world, hawajui mambo mengine zaidi ya yaliyokuwepo USA, nadhani wakina Nerere, Samora, Mandela wanelewa UK ndio chanzo cha harakati zote

UK kuna Branchi nyingi za kila chama vyote duniani na hao CCM ndio chama cha mwisho kuingia UK, CUF kilitangulia UK miaka mingi na kina wafuasi wengi zaidi kuliko CCM huko UK, wanachama wa CCM UK ni vijana wanaotokea MARA ambao hawafiki hata 100, wakati CUF wengiwao nikutoka ZNB ambao ni wengi zaidi

Nategemea tawi la CHADEMA litafunguliwa hivi karibuni kule VATICAN sio UK, kwa sababu watu pale UK wanaelewa Chadema ni chama cha namna gani, kwa hiyo wasitegemee kupata mwanachama pale UK

Bull wewe ajenda yako ni Uislamu zaidi than facts.
Huwezi kufananisha ANC wakati wana tawi UK chini ya Comrade Oliver tambo na upuuzi wa CUF na CCM .
Kusema CHADEMA kuwa na matawi Vatican ni cheap short kutaka kulink na Mheshimiwa SLAA.

Tunajuwa wana CUF ni lazy huko UK,watu wanakalia benefits tu.Bull ulitakiwa ukajilipue kwa waarabu unaowahusudu,au uende Pakistan ukapate cha moto.

WaUSA wanaweza kuwa ignorant,sio watanzania walioko huko USA.Wengi ni professional hawako kwenye benefit kama WaZenj wengi wa CUF huko UK.

Kumbuka mtoto wa kike wa Mandela(MAKI) alikuwa anaishi state na kupata PhD wakati Mzee akiwa gerezani ,pia Desmond TUTU watoto wake mpaka leo wako USA.
 
Nilikuta na jamaa yangu johaneseburg mwaka juzi akitafuta watu akidai akifikisha idadi ya watu kadhaa akiwasiliana na wamakao makuu ya chama mafungu yanatumwa...sijui aliishia wapi.
 
Kwa ushahidi huu yaonekana mleta Mada hayaelewi vizuri yaliyomzunguka. Pamoja na hayo kuna maswali mengi juu ya haya matawi ya CCM huko ughaibuni.
Mkuu hebu tumia akili, ukianzisha tawi na kuliita CCM_Marekani does it make any sense here? Ufunge tawi uliite tawi la CCM-Africa will it make any sense? Where in Africa? Kuna States 50 hapa US. Labda mwanzilishi wa hilo tawi nae akili yake ni finyu kuliita tawi la CCM-Marekani, Mji gani? State gani? Physical address?
Hilo tawi lipo kweynye blog tu. Then angalia mwakilishi wa hilo tawi lenyewe? Nisijeongea mengi bureeee:sleepy:
 
Mwenye akili timamu hana muda wa kukaa na kupanga kuwagawa Watanzania katika misingi ya kiitikadi huko ughaibuni. Tatizo ni kuwa wengi wa wanaofungua matawi ya chama tawala ni waganga njaa na wanafiki, hawana uzalendo wala uchungu wowote kwa taifa lao. Hawakerwi na jinsi rasilimali za taifa zinavyotapanywa kwa kuwa wananufaika na kunenepa kwa makombo wanayotupiwa na mafisadi walioiteka CCM na kuiendesha serikali, ole wao siku CCM inawekwa benchi !

Derogatory comments :confused2::mad2::banplease:
 
mimi nazungumza ukweli ambao bado nyie wanachama (kama wewe ni mmoja wao) bado auja hit home. Umeona kikao cha majuzi cha shina moja jina kapuni yaani ilibidi niseme jamaa ni wapo deteremined maana mahudhurio si yale ya mbwebwe tena na makulaji na nini, yaani labda kuna mmoja au wawili pale kati ya watu nane walioudhuria wanajua something the rest us havent got it. As for that branch ever developing ni ndoto tu and u know that.

hii inaashiria kwamba na wewe ulikuwepo na kushiriki katika kikao cha shina hilo na ukajua hata mahudhurio yenu, kwa kuwa hakukuwa na makulaji ndiyo maana unakuja na jazba lako, hebu toa matapishi yako hapa
 
Back
Top Bottom