UTI imenitafuna hadi natoa Usaha

UTI imenitafuna hadi natoa Usaha

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
 
Sasa mkuu umepima ukathibitishiwa ni UTI!?
 
Hilo ni gonorrhoea mzee wahii tiba mapema sana
 
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Nani alikudanganya hiyo ni UTI? Nenda hospitali dogo mgegedo utakatika huo.
 
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Sio UTI hiyo.... Wewe una ugonjwa mwingine wa ngono.... Nenda hospitali haraka ukachukue vipimo......

Unaweza kuta ni mafangus.... Hawa wanawake mnalala nao hivyo vijana muwe makini na afya zenu....

Hawa mabinti wa siku hizi hawapo makini kabisa kabisa na afya zao na viungi vya uzazi. Unakuta mtu ana maUTI ameyabebelea ila hana habari..... Mtu hadi unastukia unampelekea hospital anatibiwa anapona, akiondoka ni wiki tu akirudi tena ma UTI ameyabebelea..... Ukiwauliza wanasingizia ni vyoo wanavyotumia.... Ila ukweli umejificha kwenye chakula na matumizi ya madawa both ya mwili na cosmetics ikiwamo dawa za saloon.....

Kwa makadilio ya haraka, katika mabinti 10 ni m'moja tu ndio utakuta hasumbuliwi na magonjwa ya UTI na fungus, wengi wao hizo kitu wanazibeba kila wiki na mwezi.....

Umakini wa kiafya unahitajika sana...
 
Hakuna u.t.i hapo, hy n kisonono. Wahi hospital haraka
 
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Pole Kwa maradhi yako ya UTI inayo kusababisha maradhi zina aka gono kwa dawa za hospitali huwezi kupona kwa dawa za asili unaweza kupona zipo dawa za asili za kukuponyesha maradhi yako ya UTI na kutoka usaha.
 
Yapi hayo chief
 
Naombeni msaada ni dawa ipi nitumie kutibu UTI maana maranyingi nasikia maumivu ya kiuno lakini Sasa naona naanza kutoa usaha kwenye uume halafu Kama nakojoa mkojo unatoka kwa shida na kwamaaumivu Sana naombeni msaada
Sio U T I iyo ,uku kwetu tunaita gonoria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom