Kumbuka uchaguzi wa 2005, M/kiti wa chadema Mbowe alikaa kiti cha mbele wakati wa kuapishwa Kikwete, wakati huo vyama vingi vya upinzani havikubaliana na matokeo kikiwemo CUF
Chadema mnaanza kulalamika mlikuwa wapi miaka yote wapinzani wakiibiwa kura, mchungaji Slaa ulikuwa bussy na wake za watu na Mbowe alijipendekeza kwa Kikwete ???
Chadema inabidi mkomae...