Tanzania1960
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 204
- 22
Hivi jamaani watanzania huu uteuzi wa wachezaji wa Taifa Stars umezingatia nini hasa?yaani unamchukua mchezaji ambaye hata nusu ya mechi za ligi hajacheza ,labda mimi sioni vizuri kwa hiyo watanzania wenzangu hebu nipeni mwanga.Kweli huyu kocha anaona vipaji vingine au anaambiwa tuu?