Uteuzi wa Rais Wanajeshi/Askari nafasi za Utendaji - Mbatia

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,670
Mwenyekiti mwenza wa ukawa James Mbatia amenukuliwa na vyombo vya habari akihoji na kulauma Rais kuteua wanajeshi ati ni dhambi ya kutumikia mfumo wa kisiasa ambao haujabadilika. Amenukuliwa akirejea uteuzi wa wanajeshi enzi ya chama kimoja km Luteni Jenerali Mayunga na Jenerali Mboma.

Uhusiano wa uteuzi huu na mfumo wa chama kimoja, anavyodai Mbatia haueleweki zaidi ya kuwa na agenda nyuma ya mawazo yake.

Hakuna kifungu chochote cha Katiba kinachomzuia Rais kumteua mtu yeyote anayeona anafaa kushika madaraka katika Serikali yake.

Tuache fitina, wivu, matendo na maneno yenye dalili za uchochezi.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom