KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Mawazo potofu haya.Hawana jema....View attachment 1955125
Wanaoamini haya ni watenda maovu.
Kiongozi makini hatendi jambo au uamuzi kwa msukumo wa kufurahisha kundi, (kama ilivyo kwa machinga sasa) ; hulenga mara zote kutenda jema bila kulazimishwa kufurahisha kundi fulani.