PostGE2025 Utesaji unalivunjia heshima Taifa letu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,929
Reaction score
828,581
Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vyetu kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme ukweli. Baadhi ya mbinu wanazotumia ni:
- kuwavua nguzo zote watuhumiwa
-Kuwalawiti au kuwafira
-kuwapiga picha
-kuwaunguza kwa pasi za umene
-kuwapiga korodani (wanaume) na matiti (wanawake)
-kuwaninginiza kwenye kamba kichwa chini na miguu juu
-kuwalisha vinyesi na mikojo yao nk

Kwa picha zinazoonekana, inaonyesha kuna ukweli. Kwa simulizi za waliokutwa na mambo hayo, pia kuna ukweli. Wakati hayo yanatokea, mahakama ziko kimya na viongozi wetu wako kimya. Vitendo hivi vinavunja katiba, sheria na haki za binadamu.

Serikali zetu zinatumia fedha nyingi kusomesha wana usalama wetu ili wajifunze kupata ushahidi bila kutesa na kutweza utu wa binadamu yeyote. Vitendo hivi vinafanya iwe vigumu kwa wana diplomasia wetu kulitetea taifa mbele ya jumuia ya kimataifa. Matokeo yake, wana diplomasia wetu wanaonekana vichekesho, waongo na wababaishaji.

Tume ya HAKI JINAI ilitoa ushahidi wa haya mambo na kushauri hatua za kufanya. Tuheshimu hiyo ripoti. Hatuwezi kuwa na mifumo miwili sambamba ya utoaji haki nchini.

Mateso kwa watuhumiwa ni kielekezo kibaya cha serikali yoyote. Tuone aibu kufira ili kupata ushahidi. Ushahidi haufichwi kwenye kinyeo😓😭😭
Kichaka cha mbinu hii ni sheria inayowapa kinga watesaji. Sheria hii inastawisha uvivu wa kufikiri katika vyombo vyetu.

HATA GUANTAMANO WAMEACHA.
1765252871095.jpg
 
HATA GUANTAMANO WAMEACHA.View attachment 3513298
😭😭😭😭😭😭😭
 
Mkuu dawa ya yote haya ni kuitoa CCM madarakani, chama kikishika dola muda mrefu, hujisahau na kupata kiburi….Usalama wameingizwa UVCCM na watu wasiokuwa na ethics za kazi
 
mkono wa chuma unatakiwa kuondoka hakuna cha kusingizia Amani.
 
Bila kuungana tukawatoa hawa wadharimu madarakani walai hawatatoka na watajiona kuwa wamiliki wa nchi hii.
Kigezo cha kulinda Amani huku una Haki za wengine ni upumbavu mkubwa.
 
Binadamu kwa tamaa zao za mamlaka ya kidunia zimeushusha thamani uhai wa wenzao kabisa.

Unamtesa na kumdhalilisha mwenzio kama vile una hakika ya kuishi milele ama kuondoka na hayo unayotesea wenzio, kumbe ukifa huondoki hata na kijiko.
 
Back
Top Bottom