Sawa,samahani kwa kukutisha mkuu,mpeleke mtoto akachanjwe.Wewe hujawahi chanjwa? Hebu acha kututisha watu tuna watt wachanga na bado chanjo hajamaliza. Tunawaombea Mungu atawafanya wawe vichwa na sio mikia
Hayo maneno sio yako?Kama ni yako sio mimi mwenye tatizo,tatizo unalo wewe!Bado unanipa wasiwasi zaid mkuu....
Polee sanaa.
Hahahaaaa nimefurahi ukweli umekuingiaStupid.
Hahahaaaa nimefurahi ukweli umekuingia
Na wa kwako piaAliyekuzaa.
Hatari Sana hizi p2 watu wanameza ka karangaHizo p2 maximum kama sikosei sijui ni mara moja kwa mwaka. Na huruhusiwi kumeza kama hujawahi kuzaa . wanachostahili kujua watumiaji wa hizi njia za uzazi wa mpango ni kwamba ziba very bad effects kwenye mfumo mzima wa uzazi kuanzia kwenye mfumo wa mawasiliano na ubongo,level of production ya mbezi, na mfumo mzima . na mbaya zaidi wanatumia kwa kuambizana kati yao na si kuuliza wataalam
Achana na mm kubwa JingaInaonekana umeshavizoea sana 'Vitu' ambavyo huwa 'vinakuingia' mno na mara kwa mara au?
Achana na mm kubwa Jinga
Hahahaaaa Bado uko na Mimi tuuAchana na Mimi Wewe 'Pumbavu / Popoma' Mwandamizi tafadhali.
Hahahaaaa Bado uko na Mimi tuu
Hahahaaaa inawezekana namjibu chizi wallahNikikutana na 'Wapumbavu' wa mfano wako huwa siwaachi Kwanza hadi nihakikishe nimewarekebisha hasa Uwezo wa Kufikiri na wawe na Akili pia.
Hahahaaaa inawezekana namjibu chizi wallah
Au machungu ya kutopandishwa mshahara miaka mitano unayaleta kwangu
Pambana na hali yako
Ni suala la kiroho zaidi sio kawaida km ulivyosema!Hii hali si ya kawaida.Nimeshashuhudia na kusikia wanawake wengi sana wakisumbuliwa na uvimbe wa tumbo pamoja na tumbo kutoa usaha pindi wakifanyiwa upasuaji.
Idadi imekuwa kubwa mno mpaka nimeona nije kuleta hii mada humu jamii forums tuweze kupata ufumbuzi.
Mfano mzuri ni huyu muigizaji wa bongo dar es salaam anayeitwa Carina amefanyiwa upasuaji mara tano na tumbo lake linatoa usaha tu na mpaka sasa bado hajapata nafuu.
Pia nilivyosikia hii hali ikiendelea kwa muda mrefu inapelekea kansa.
View attachment 1548854
Too badsana asee nakumbuka kuna nyakati nilikua tz nikaenda kwa project mikoa flan flan hali kule mbaya asee watoto wanahimizwa hayo madude mashuleni kabisa kuzuia upatikanaji mimba holela
Hali mbaya sana mbeleni
Hahahaaaa inawezekana namjibu chizi wallah
Au machungu ya kutopandishwa mshahara miaka mitano unayaleta kwangu
Pambana na hali yako
You remind me of a nasty, smelly and sticky dirt on the bottom of my shoe.Stupid.
You remind me of a nasty, smelly and sticky dirt on the bottom of my shoe.
You belong to the sewers mister.
You poor lad!Kiingereza chako ni cha Darasa la Tatu ambacho hata Mwanangu 'Junior GENTAMYCINE' hakizungumzi. Jitahidi uwe 'Wordsmith' kama Mimi sawa?
Hili ndio jibu..Jibu ni rahisi tu, vipimo... hapo awali havikuwepo kwenye hospitali zetu!