Asante...hapo kwenye chapati sijaelewa..Habari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.
MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)
JINSI YA KUTENGENEZA
Changanya MCHANGA 3 + CEMENT 2 weka maji uwe mchanganyiko kama wakupigia plasta.
Tandika Salfeti chini, chota mchanganyiko wako utengeneze chapati ya sentimita 3. Kisha toboa katikati ya hiyo chapati na ujazie udongo mkavu.
Jaza mchanga ndani ya umbo kisha weka umbo juu ya chapati. Anza kuchapia iache ikauke. Ikikauka mimina mchanga toa kiroba.
Chukua rangi nyekundu changanya na cement kisha paka chungu chako vizuri kwa uwiano, ikikauka paka vanish.
TAYARI KWA KUUZA
MAMBO YA KUZINGATIA
-Vanish zipo nyingi ulizia aina ya MAHOGAN
-UMBO- chukua kiroba kama cha unga nenda kwa fundi cherehani apitishie uzi pembeni na pembeni akitengeneza umbo la chungu unachotaka. Baada ya hapo jaza mchanga.
-Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa wala fremu. Ni fursa nzuri...
Asante...
-Queen Chagga
Vyungu huwa vinakuwa na kitako.... Kwahiyo unatengeneza kitako mfumo wa chapati (duara).Asante...hapo kwenye chapati sijaelewa..
Okay i will work on thatUNGETUWEKEA PICHA TUONE UNAVYOTENGENEZA INGEKUWA VIZURI MAANA KWA THEORY TU HATUELEWI MKUU
ILA ASANTE KWA SOMO
SOKO LAKE LIKOJE NA WADAU WAKUBWA WA HIVI VYUNGU NI WATU GANI. Ahsante kwa somo zuriHabari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.
MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)
JINSI YA KUTENGENEZA
Changanya MCHANGA 3 + CEMENT 2 weka maji uwe mchanganyiko kama wakupigia plasta.
Tandika Salfeti chini, chota mchanganyiko wako utengeneze chapati ya sentimita 3. Kisha toboa katikati ya hiyo chapati na ujazie udongo mkavu.
Jaza mchanga ndani ya umbo kisha weka umbo juu ya chapati. Anza kuchapia iache ikauke. Ikikauka mimina mchanga toa kiroba.
Chukua rangi nyekundu changanya na cement kisha paka chungu chako vizuri kwa uwiano, ikikauka paka vanish.
TAYARI KWA KUUZA
MAMBO YA KUZINGATIA
-Vanish zipo nyingi ulizia aina ya MAHOGAN
-UMBO- chukua kiroba kama cha unga nenda kwa fundi cherehani apitishie uzi pembeni na pembeni akitengeneza umbo la chungu unachotaka. Baada ya hapo jaza mchanga.
-Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa wala fremu. Ni fursa nzuri...
Asante...
-Queen Chagga
Habari Wana JF

Okay i will work on that
Aina gani ya rangi hutumika kwenye vyungu?Habari Wana JF

Haya mambo yangekuwa Na Picha au video clip ingekuwa poa sanaa